maadili
-
Jamii bora haihitajii watu ambao ni wasomi, bali inahitajia watu walioelimika | "Elimu bila Adabu ni sawa na Upanga Mkali Mikononi mwa Kichaa"
Msemo huu: "Elimika Usiwe Msomi" ni wito wa kuhusisha Elimu na Maadili. Elimu ya Kweli huonekana katika namna unavyowatendea wengine. Namna unavyofikiri kuhusu Haki na Uadilifu kwa kila Mwanadamu bila kujali Imani yake ya Kidini.
-
Siri na Falsafa ya Ratiba ya Darsa ya "Subhi ya Kimaanawi" kwa Wanafunzi wa Jamiat Al-Mustafa, Dar-es-Salam, Tanzania + Picha
Maulamaa wakubwa katika historia zao, walikuwa wakitafuta Adabu (Maadili) kwanza, kisha ndio wanaitafuta elimu. Wengine walikuwa wakiitafuta adabu kwa muda wa miaka 30, na elimu wanaitafuta kwa muda wa miaka 20.
-
Ni kwa namna ipi Sala hukataza maovu?
Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Mwenyezi Mungu (s.w.t) anasema ndani ya Qur'an Tukufu anasema: (اتْلُ مَا أُوحِيَ إِلَيْكَ مِنَ الْكِتَابِ وَأَقِمِ الصَّلَاةَ ۖ إِنَّ الصَّلَاةَ تَنْهَىٰ عَنِ الْفَحْشَاءِ وَالْمُنكَرِ ۗ وَلَذِكْرُ اللَّهِ أَكْبَرُ ۗ وَاللَّهُ يَعْلَمُ مَا تَصْنَعُونَ). "Soma uliyo funuliwa katika Kitabu, na ushike Sala. Hakika Sala inazuilia mambo machafu na maovu. Na kwa yakini kumdhukuru Mwenyezi Mungu ndilo jambo kubwa kabisa. Na Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yatenda".