nguzo
-
Mwenyekiti wa Baraza la Sera za Maimamu wa Ijumaa nchini:
"Swala ya Ijumaa ni nguzo ya Umoja wa Kitaifa - Lazima iwafikie watu wa makundi yote"
Mwenyekiti wa Baraza la Sera za Maimamu wa Ijumaa nchini: "Swala ya Ijumaa inapaswa kuwa ya watu wote na kuakisi umoja wa kitaifa."Akiangazia umuhimu wa nafasi ya wananchi na ushirikishi mpana katika Swala ya Ijumaa, mwenyekiti huyo alisema: “Makamati ya Swala ya Ijumaa yanapaswa kwa ubunifu na upangaji madhubuti, kuweka mazingira yanayowezesha ushiriki wa watu wa makundi yote ya jamii — kuanzia wanafunzi wa vyuo vikuu, walimu na wasomi, hadi wafanyakazi wa viwandani na wakulima.” Aliongeza kuwa kwa njia hii, ibada hii ya kiroho na kisiasa itakuwa ni taswira kamili ya mshikamano na umoja wa kitaifa.
-
Maukib ya Wanafunzi wa Bara la Afrika Katika Nguzo ya 379, Njia ya Najaf hadi Karbala”
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kwa moyo mkunjufu, linatoa pongezi na shukrani kwa juhudi zenu nzuri kwa kuandaa Maukib hii.
-
Ushiriki wa Watu wa Khorasan Razavi katika Maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s) – 1447H / 2025
Watu wa Khorasan Razavi, hasa kutoka Mashhad, wameonyesha mapenzi na kujitolea kwa kiwango kikubwa kupitia huduma za malazi, chakula, afya, elimu ya kidini, sanaa na hata usafirishaji – wakidhihirisha mshikamano wa kweli wa Waislamu wa madhehebu ya Ahlul-Bayt (a.s) katika harakati ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s).
-
Hashd ni nguzo ya hema, na Muqawama ni heshima ya Umma wa Iraq / Hatutapatanishwa na Wavamizi
Al_Walaiy: “Tunaiweka hai Gaza ndani ya nyoyo zetu na tuko tayari daima kuwasaidia.” Alieleza kuwa ushindi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni furaha kwao, na kwamba ndugu zao wa Lebanon ni mfano wa ushindi - ushindi uliotabiriwa na Qur’an Tukufu.