saudia arabia
-
Serikali ya Uingereza iko tayari kuikabili nchi yoyote itakayothibitika kufadhili magaidi
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amesema nchi yake inahitaji kuwa na mazungumzo magumu na wale wote wanaofadhili ugaidi pamoja na itikadi kali ikiwemo serikali za kigeni sambamba na washirika wake ikihitajika.
-
Misri yamfukuza balozi wa Qatar
Misri imetoa masaa 48 kwa balozi wa Qatar kuondoka nchini humo na kuwaita nyumbani wawakilishi wake waandamizi waliopo Doha. Hii ni kulingana na duru za wizara ya masuala ya kigeni ya Misri Mwito huu unafuatia hatua ya mataifa kadhaa ya Kiarabu, kutangaza kukata ushirikiano wa kidiplomasia na Qatar.
-
Kombora la wanajeshi wa Yemen lasambalatisha kambi ya jeshi Saudi Arabia
Kombora lililorushwa na jeshi la Yemen limelenga kambi ya jeshi nchini Saudia arabia na kusababisha hasara kubwa.
-
Majeshi ya Iraq yakomboa Eneo la mashariki la Mosul kutoka kwa magaidi wa Daesh
Waziri Mkuu wa Iraq Haider al-Abadi ametangaza rasmi kukombolewa upande wa mashariki wa mji wa Mosul ambao hapo awali ulikuwa ukidhibitiwa na wanapiganaji wa kundi la kigaidi la Daesh linalojiita Dola la Kiisilamu ambalo linauhusiano wa karibu na Saudia arabia.