
Video | Wakati wa kuokolewa kwa Msichana Mdogo kutoka kwenye vifusi vya nyumba iliyoharibiwa huko Gaza
21 Septemba 2024 - 15:37
News ID: 1487001

Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - vikosi vya uokoaji vilimuokoa mtoto mdogo wa kike kutoka kwenye vifusi vya nyumba yao katika kitongoji cha Al-Zaytoun katika Mji wa Gaza, ambayo iliharibiwa kwa kushambuliwa na jeshi haram la Israel.
