Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - ABNA - Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anatarajia kuzindua Ofisi Mpya ya BAKWATA , Kata ya Vingunguti, Dar-es-salaam, Tanzania.
Ufunguzi huo wa Ofisi hiyo utajiri Kesho Siku ya Jumatano, tarehe 16 April, 2025, Muda wa saa 3 Asubuhi.
Ofisi hio imepatikana chini ya usimamizi wa Mstahiki Meya na Diwani wa Vingunguti Mheshimiwa Omar Kumbilamoto.
Chanzo cha Habari: @miladu_tv
Your Comment