









































Hizi ni picha za wanajeshi wa Urusi wakiwa nchini Syria kwa ajili ya kupambana na vikundi vya magaidi na waasi wanaoungwa mkono na Marekani na wafuasi wake ili kuiangusha serikali ya Syria. Majeshi ya urusi yapo kwa ajili ya kutetea serikali na wananchi wa Syria.









































