24 Mei 2025 - 17:01
News ID: 1692146
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wakati wa Sala ya adhuhuri, Kamera za usalama zilikamata tukio la Mwanaume mmoja wa Misri mwenye umri wa miaka 70 aliyefariki ghafla akiwa Msikitini akitekeleza ibada katika kijiji cha "Mahallat Abu Ali". Katika tukio husika, video inamuonyesha akiwa amekaa katika kiti chake, na akiwa katika hali ya kufanya ibada, ghafla alikumbwa na tatizo la kiafya na kufariki dunia pale pale. Tukio hili limewaathiri watu wengi na limewazua hisia nyingi miongoni mwa waumini na jamii.
Your Comment