Video | Picha za kupendeza za mahudhurio ya watoto Yatima elfu moja katika Haram Tukufu ya Baba wa Watoto Yatima, Imam Ali (as)
11 Juni 2025 - 17:54
News ID: 1697380
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul Bayt (as) -ABNA- Wakati wa Siku Tukufu za Kusherehekea Sikukuu ya Ghadiir , Watoto Yatima elfu moja wamehudhuria katika Haramu Tukufu ya Baba wa Mayatima, Imamu Ali (a.s).
Your Comment