Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- WITO WA KWANZA: Tamasha la Kitaifa la Ushairi wa Ghadir Kwa Mnasaba wa Kuadhimisha Sikukuu Tukufu ya Ghadir Khum - Sikukuu ya Wilayat na Uimamu - tunayo furaha kutangaza: *Tamasha la Kitaifa la Ushairi wa Ghadir Likiwa na lengo la: 1_Kueneza Mafundisho ya Ghadir. 2_Kukuza Mapenzi kwa Ahlul Bayt (a.s). 3_Na kutambua nafasi muhimu ya Wilaya katika Uislamu.
Tarehe: Jumamosi, 14 Juni 2025
Mahali: Al-Mustafa International Foundation, Mbezi Beach – Dar es Salaam.
Muda: Saa 3:30 asubuhi hadi 6:15 mchana.
Washairi wa Kiislamu kutoka sehemu mbalimbali watahudhuria kwa ajili ya kusoma mashairi yanayogusa nyoyo kuhusu: Tukio la Ghadir, Mapenzi kwa Ahlul-Bayt(as), na mafundisho ya Kiislamu.
Wote mnakaribishwa kwa moyo mkunjufu.
Your Comment