11 Juni 2025 - 15:57
Kiongozi Mkuu: Msimamo Usioyumba wa Taifa la Iran Ni Ishara ya Uwezo na Dhamira ya Kitaifa – Wabunge Wahimizwa Kulinda Hadhi ya Bunge la Kiislamu

Katika mkutano na Spika na wabunge wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: "Iran Haijawahi Kuyumba Mbele ya Mashinikizo ya Kimataifa".

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Katika mkutano na Spika na Wabunge wa Bunge la Kiislamu la Iran, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatollah Ali Khamenei, amesema kwamba:  "Iran Haijawahi Kuyumba Mbele ya Mashinikizo ya Kimataifa". 

Kiongozi Mkuu: Msimamo Usioyumba wa Taifa la Iran Ni Ishara ya Uwezo na Dhamira ya Kitaifa – Wabunge Wahimizwa Kulinda Hadhi ya Bunge la Kiislamu

Aliendelea kusisitiza juu ya: 

1- Msimamo Usioyumba wa Taifa la Iran dhidi ya madola makubwa duniani, akisema kuwa huo ni ishara ya wazi ya uwezo na dhamira ya kitaifa.

2- Wito kwa Wabunge: Amewahimiza Wabunge kuhifadhi heshima na nafasi ya kipekee ya Bunge la Kiislamu na kuepuka hatua zozote zinazoweza kudhoofisha taasisi hiyo muhimu.

3- Umoja na M shikamano: Alionya kuhusu majaribio ya maadui kuleta migawanyiko ndani ya Iran na akaeleza kuwa wabunge wanapaswa kuwa makini, waungane na kulinda maslahi ya taifa.

4- Umuhimu wa maadili ya Mapinduzi: Alikumbusha wabunge kuzingatia daima malengo ya Mapinduzi ya Kiislamu na kuepuka kupotoka kwenye njia ya haki na maadili.

Kiongozi Mkuu: Msimamo Usioyumba wa Taifa la Iran Ni Ishara ya Uwezo na Dhamira ya Kitaifa – Wabunge Wahimizwa Kulinda Hadhi ya Bunge la Kiislamu

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha