Baadhi ya Picha za Shambulizi la Iran katika kiwanda cha kusafisha mafuta cha Haifa. Tizama picha na video uone namna shambulizi hili lilivyokisambaratisha kiwanda hicho.Israel inaendelea kuchapika na kuvuna ilichokipanda. Hakika Iran ni taifa kubwa israel haina uwezo na ubavu wa kutoka salama katika vita yake iliyoianzisha dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Iran Taifa kubwa lenye jumla ya watu milioni 90. Nguvu zake za kijeshi ni kubwa, moto wake ni mkubwa, watu wake ni imara, ni taifa la imani na lenye ujuzi na umahiri wa kivita, utakuwa hujaijua Iran na historia yake endapo utadhani au kuthubutu kuilinganisha Iran na nchi bandia yenye jumla ya watu milioni 9 tu na wote makafiri wa dunia na wanaogopa kifo! na sasa wanaanza kuikimbia israel na kurudi huko walikotoka, na hakika hatima ya utawala huo haram wa kizayuni ni kufutwa katika ramani ya dunia, na wapalestina kurudisha ardhi zao na kuendelea kuishi katika ardhi yao na nchi yao huru ya Palestina.
Your Comment