Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) - Lieberman: Hii inakuwa mara ya kwanza kwa Israel ya kusitisha mapigano ambayo Israel inalazimika kuyafanya ikiwa imeshindwa kuweka masharti. Usitishaji huu wa kufedhehesha utaturudisha tena vitani ndani ya miaka 3. Tulikuwa katika kushuhudia jinai za Iran kwa muda wa siku 12!
Hili la kusitisha mapigano ni la aibu, si mpango wa makombora wa Iran umeharibiwa wala mpango wao wa nyuklia, huu ni usitishaji mapigano usio na masharti, Iran itarutubisha Uranium (ya Nyuklia) tena.
Your Comment