Simulizi katika video fupi ikionyesha uwepo wa moja kwa moja wa Rais karibu na watu walioathiriwa na vita + Video Fupi
15 Julai 2025 - 23:15
News ID: 1708223
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) -ABNA- Katika video hii fupi, anaonekana Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dkt. Pzeshkian, akiwatembelea moja kwa moja (bila kuwakilishwa) watu walioathiriwa na vita vya uchokozi vya siku 12 vya utawala haram wa Kizayuni dhidi ya Taifa la Iran.
Your Comment