3 Julai 2026 - 11:50
Wanazuoni wa Palestina Wafika Iran Kuimarisha Mshikamano wao na Iran Kuhusu Quds na Palestina +Video

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt as -ABNA- Ujumbe wa Masheikh na Wanazuoni kutoka Palestina umefika Iran kutoa heshima na kuonesha mshikamano wa Kiislamu. Ujumbe huo umesisitiza nafasi ya Shahid, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kuunga mkono Palestina na kulinda Quds Tukufu, huku ukihimiza umoja wa Waislamu katika kupinga uonevu na kuendeleza mshikamano wa Ulimwengu wa Kiislamu.

Your Comment

You are replying to: .
captcha