Ripoti ya ABNA-Yusuf Muhafadhah kiongozi na mfatiliaji wa haki za Binadamu alisema:Zainab Abdah Husein Issa siku ya Jumamosi alikabidhi Roho kwa athari ya Gesi ya Sumu ilofukizwa na vikosi vya Usalama vya Bahrain.
Mama huyu ni mkazi wa As sahlah Junubiyah Bahrain na Mama huyu alikuwa mwenye umri wa miaka 68.
Shahada ya Zainab iliongeza idadi ya Mashahidi kufikia 71.