Shrika la Habari la Ahlul Bayt(a.s)ABNA: televehen ya CNN: imetangaza kuwa balozi wa marekani nchini Libya ameuawa pamoja na wafanyakazi wengine watatu wa ubalozi huo, katika shambulio la Roketi mjini Benghazi Libya.
11 Septemba 2012 - 19:30
Msimbo wa Habari: 347047
CNN: ripoti nyigi zinaahiria kuwa balozi wa marekani nchini Libya pamoja na wafanyakazi wa ubalozi huo wameuawa mjini Benghazi