Shirika la Habari la Ahlul Bayt(a.s)-ABNA: (Muhammad Mursiy) Raisi wa jamhuri ya Misri katika mazungumzo yake na Ardoghan waziri mkuu wa Uturuki kuhusu hali iliojitokeza nchini hivi sasa.Katika mazungumzo hayo Mursiy asema sitaruhusu kuvunjwa mwenendo wa kidemokrasia katika nchi yake. Ardoghan naye amesisitiza kuwa yeye anafuatilia sana yanayojiri nchini Misri nakumwambia kuwa karibu hali ya nchi hiyo itatengamaa, pia kumtaka Mursiy kulitilia umuhimu suala la mazungumzo na wapinzani wake.
9 Desemba 2012 - 20:30
Msimbo wa Habari: 371240
Rais wa jamhuri ya Misri Muhammad Mursiy katika maelezo yake amesisitiza kuwa kamwe sitaruhusu Demokrasia kuvunjwa nchini Misri