Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Nchi ya Misri baada ya kuondoshwa madarakani Husni Mubarak na kuchukuwa utawala Ikhwan Muslim kumekuwa kwajitokeza vitendo vibaya hasa vitendo vya kunyanyaswa Waislamu wenye Madhehebu ya kishia, na habari zaeleza kua kila ilipofanywa vitendo vya kinyama hivyo moja kwa moja wananchi walikuwa wakishitakia serikali ya Mursi ila serikali hiyo ilikuwa haitowi jibu lolotelile.
La kusikitisha ni kwamba wiki moja ilopita waliuwawa na kupigwa vibaya Mashia wa nne nchini Misri jambo ambalo ulimwengu hasa watetezi wa haki za binadamu wamelikalia kimya.
Je! Mambo wanayofanya mawahabi sheria ya Kislamu ya kubaliana nayo? Je! Ya ruhusiwa kuuwa nafsi ya kiumbe chochote bila hatia?
Kundi la Kiwahabi ni kundi lililoandaliwa na Marekani na Uingereza kuja kuteteza Uislamu, tazama mambo wafanyayo ila ulimwengu umeyakalia kimya.






