Magaidi wa Daesh wamevamia kivuko cha mpaka wa Uturuki na Syria katika jitihada za kuteka kituo hicho.
Magaidi hao wameshambulia sehem mbali mbali za mji wa Kuban, wakitumia silaha nzito lakini hakufanikiwa kuteka kivuko hicho.
Wapiganaji wa kikurd wakishirikiana na wapiganaji wengine wakujitolea wamepambana kikamilifu na kundi hilo la magaidi la Daesh lenye lengo la kuanziasha dola la kiislamu Iraq na Syria.
inafaa kuashiria kwamba, hatari ya mtandao huu wa magaidi ni kubwa sana, si kwa mashariki yakati tu bali hata nchi za Afrika.
11 Oktoba 2014 - 13:57
Msimbo wa Habari: 643643
Magaidi wa Daesh wamevamia kivuko cha mpaka wa Uturuki na Syria katika jitihada za kuteka kituo hicho.