-
Wanajeshi wa Israel hawataki vita dhidi ya Gaza
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendelea kupinga vita dhidi ya Gaza.
-
Asasi za kimataifa: Maghala ya chakula Gaza yamebakia tupu
Asasi mbalimbali za kimataifa zimeonya kuhusiana na hali mbaya ya uhaba na ukosefu wa chakula katika Ukanda wa Gaza na kueleza kuwa, hivi sasa maghala ya chakula katika ukanda huo yapo tupu.
-
Je, dunia itabaki kuwa mtazamaji pekee wa mauaji ya kimbari Gaza?
Ukanda wa Gaza uko katika janga kubwa la kibinadamu. Katika miezi iliyopita, kushadidi mzingiro wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo sambamba na mashambulizi ya mara kwa mara ya angani na nchi kavu, na vizuizi vikali vya misaada ya kibinadamu vilivvyowekwa na utawala huo wa Kizayuni vimeharibu si tu miundombinu ya msingi ya eneo hilo, bali pia vimeweka hatarini matumaini ya kuendelea kuishi kwa malaki ya raia wa Palestina.
-
Majibu ya Tehran kwa Shutuma za Uongo za Ufaransa Kuhusu Mpango wa Nyuklia wa Amani wa Iran
Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, Amir Saeed Iravani, amewatumia barua Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, akielezea kuwa madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kwamba Iran iko "katika hatua ya mwisho" ya kuzalisha silaha za nyuklia ni yasiyo na msingi na kisiasa ni hatua isiyo ya uwajibikaji. Iran haijawahi kuwa na nia ya kutafuta silaha za nyuklia na haijabadilisha sera yake ya ulinzi.
-
Iran yaitaka ICJ kukomesha mauaji ya kimbari ya Gaza, kuruhusiwa misaada ya kibinadamu
Tehran imelaani mashambulizi ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan ikiyataja kuwa ni mfano wa wazi wa mauaji ya kimbari na kutoa wito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) na jamii ya kimataifa kuchukua hatua ya kuwajibika kukomesha ukatili huo.
-
Trump na Gorbachev; Je, historia inajirudia huko Marekani?
Gazeti la kila wiki la Marekani la Newsweek limeripoti kuhusu mbinu mahususi zinazotumiwa na Rais wa nchi hiyo, Donald Trump katika sera za kigeni.
-
Ismail Baqaei: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vimegonga mwamba
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uraibu wa Marekani wa kuwekea vikwazo mataifa mengine na kubainisha kwamba, vikwazo vya Washington dhidi ya Tehran vimeshindwa na kutokuwa na natija.
-
Kuimarishwa kwa uhusiano wa kibiashara kati ya Iran na Afrika / Isfahan kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika
Waziri wa Viwanda wa Mali, katika hafla ya kufunga Mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika, alisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji wa pamoja katika nyanja mbalimbali. Alieleza matumaini kwamba mkutano huu utasababisha mshikamano na maingiliano yenye tija kati ya pande hizo mbili, na akatambua kuwa sekta binafsi ina nafasi muhimu katika mchakato huu.
-
Hakim: Hashd al-Shaabi ina Jukumu la msingi katika kuilinda Iraq
Kiongozi wa Harakati ya Hekima ya Kitaifa ya Iraq amesisitiza umuhimu wa Hashd al-Shaabi katika kulinda nchi ya Iraq na ametoa wito wa kuendelezwa kwa juhudi za kiusalama pamoja na matumizi ya teknolojia za kisasa katika uwanja huo. Sayyid Ammar Hakim pia ameashiria kujitolea kwa Hashd al-Shaabi na nafasi yake katika kuleta uthabiti nchini Iraq, na amesisitiza ulazima wa kulinda heshima na sifa njema ya taasisi hiyo.
-
Raundi ya Nne ya Mazungumzo kati ya Iran na Marekani Kufanyika Jumatano, Mei 7, 2025
Kwa mujibu wa Mwandishi wa Wall Street Journal, muda unaotarajiwa kwa ajili ya mazungumzo yajayo ni tarehe 7 Mei, 2025 (Siku ya Jumatano).
-
Habari Pichani | Kikao cha Mkuu wa Kituo cha Kitaifa cha Mitandao na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt(a.s)
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt(a.s) – ABNA – Dkt. Sayyid Mohammad Amin Aghamiri, Mjumbe wa Baraza Kuu la Mitandao na Mkuu wa Kituo cha Kitaifa cha Mitandao cha Iran, akiwa ameambatana na ujumbe wake, alifanya ziara katika Makao Makuu ya Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt(a.s) Mjini Qom na kukutana na Ayatollah "Reza Ramezani", Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo.
-
Ripoti ya Picha | Matukio ya Kando ya Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Wanahabari wa Ahlul-Bayt (a.s) kwa Ushiriki wa Wanahabari kutoka Bara la Afrika
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - Abna - Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa "Wanahabari wa Ahlul-Bayt (a.s)" umefanyika leo asubuhi kwa mnasaba wa maadhimisho ya "Dahe Karamat / (Siku Kumi za Karamat) / The Ten Days of Karamat" kwa ushiriki wa Wanahabari na Wasomi kutoka Iran na Bara la Afrika. Tukio hili limeandaliwa na Shirika la Habari la Abna na kufanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) Mjini Qom.
-
Habari Pichani | Mkutano wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Gilan na Ayatollah Ramezani
Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) – ABNA – Kundi la Wanafunzi wa kike kutoka Chuo Kikuu cha Gilan walitembelea Makao Makuu ya Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) na kukutana na Ayatollah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo na Mwakilishi wa Wananchi wa Mkoa wa Gilan katika Bunge la Wataalamu wa Uongozi.
-
Picha ya Habari | Ziara ya Mkuu wa Kituo cha Kitaifa cha Mitandao ya Kijamii katika Shirika la Habari la ABNA
Kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Habari za Ahlul-Bayt (a.s) – ABNA – Dkt. Sayyid Muhammad Amin Aghamiri, Mjumbe wa Baraza Kuu la Mitandao ya Kijamii na Mkuu wa Kituo cha Kitaifa cha Mitandao ya Kijamii nchini Iran, alifanya ziara katika Shirika la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) Mjini Qum na kutembelea Shirika la Habari la ABNA.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s):
Mapinduzi ya Kiislamu ni miale ya fikra ya Ahlul-Bayt (a.s) / Magharibi wanapotosha Uislamu, sisi tunapaswa kusimulia ukweli halisi ulivyo
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) amesema kuwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni mwangaza unaotokana na fikra na mafundisho ya Ahlul-Bayt (a.s), na kuongeza kuwa: Magharibi wanajitahidi kupotosha taswira ya Uislamu mbele ya dunia, hivyo ni jukumu letu kusimulia ukweli halisi wa Uislamu Sahihi na wa Haki kwa kutumia njia za kisasa za Mawasiliano na Vyombo vya Habari.
-
Ripoti ya Picha | Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Wanahabari wa AhlulBayt (a.s) kwa Ushiriki wa Wanahabari kutoka Iran na Bara la Afrika
Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) – ABNA – Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa “Wanahabari wa Ahlul-Bayt (a.s)” umefanyika leo asubuhi kwa mnasaba wa Dhul-Hijjah, kwa ushiriki wa wanahabari na wasomi kutoka Iran na Bara la Afrika, kwa juhudi za Shirika la Habari la Kimataifa la AhlulBayt (a.s) – ABNA – Katika ukumbi wa mikutano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) Mjini Qom.
-
Utamaduni wa Kisasa wa Mauaji ya Kimbari ya Mawazo na Imani
"Mashambulizi ya Kitamaduni hayako tena katika kiwango cha tahadhari au nadharia; leo hii yamejikita katika kona za fikra za kijana wa Kiiran na kwa utulivu, lakini kwa mfululizo, na yanashambulia imani, utambulisho na mtindo wa maisha ya Kiislamu."
-
"Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Waandishi wa Habari wa Ahlul Bayt (a.s) umeanza kwa kushirikisha Wanahabari kutoka Bara la Afrika."
Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Waandishi wa Habari wa Ahlul Bayt (a.s) waanza kwa ushiriki wa wanahabari na wasomi kutoka Iran na Bara la Afrika Mjini Qom
-
Dalili ya wazi na kubwa Kuhusu Kupigana kwa Malaika Pembeni ya Ali (as)
kwa Hakika Amirul-Mu'minin Ali (a.s) hakuwa anarudi kutoka vitani mpaka apate ushindi kwa msaada wa Mwenyezi Mungu. Na ni fadhila iliyo kubwa kiasi gani kuwa Malaika Jibril (as) anapigana upande wa kulia wake, na Mikail (as) upande wa kushoto wake.