ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterHabari za leo
  • Maandamano dhidi ya Al Khalifa katika eneo la Sitra nchini Bahrain

    Maandamano dhidi ya Al Khalifa katika eneo la Sitra nchini Bahrain

    Vyanzo vya habari viliripoti kufanyika kwa maandamano katika eneo la Sitra nchini Bahrain kupinga hukumu zilizotolewa na Al Khalifa dhidi ya wanachuoni wa Shia wa Bahrain.

    2026-11-20 21:23
  • Serikali ya Iraq: "Hashed al-Shaabi" inafanya kazi chini ya amri ya kamanda mkuu wa vikosi vya jeshi

    Serikali ya Iraq: "Hashed al-Shaabi" inafanya kazi chini ya amri ya kamanda mkuu wa vikosi vya jeshi

    Msemaji wa serikali ya Iraq alisisitiza kwamba uwekaji wa vikosi mbadala vya polisi na "Hashed al-Shaabi" katika eneo la Jurf al-Nasr umekwenda kwa utulivu na bila matatizo.

    2026-11-20 21:23
  • Maonyo 4 makali ya vikosi vya jeshi la Yemen kwa Riyadh

    Maonyo 4 makali ya vikosi vya jeshi la Yemen kwa Riyadh

    Msemaji wa vikosi vya jeshi la Yemen alisema: Iwapo adui atatekeleza tishio lake la kupiga mabomu bandari ya Hodeidah ya Yemen, bandari ya Jeddah na bandari zote za adui wa Saudi kwenye ufuo wa Bahari ya Shamu zitakuwa malengo ya mashambulizi ya vikosi vyetu vya jeshi.

    2026-11-20 21:22
  • Urusi Yatangaza Utayari wa Kusaidia Kutatua Suala la Nyuklia la Iran

    Urusi Yatangaza Utayari wa Kusaidia Kutatua Suala la Nyuklia la Iran

    Balozi wa Urusi nchini Uturuki, Sergey Vershinin, amesema Moscow iko tayari kusaidia katika kutafuta suluhisho la changamoto zinazohusiana na Iran, ikiwemo suala la nyuklia, akisisitiza umuhimu wa kurejesha amani na utulivu katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kupendekeza kuanzishwa kwa mfumo wa pamoja wa usalama wa kikanda.

    2026-11-20 16:53
  • Uingereza Yatangaza Nia ya Kufanya Mashambulizi ya Kimtandao Dhidi ya Iran, China na Urusi

    Uingereza Yatangaza Nia ya Kufanya Mashambulizi ya Kimtandao Dhidi ya Iran, China na Urusi

    Kamanda wa Kikosi cha Operesheni za Kimtandao na Operesheni Maalumu cha Jeshi la Uingereza amethibitisha kuwa Kikosi cha Kitaifa cha Usalama wa Kimtandao cha nchi hiyo kina nia ya kufanya operesheni za mashambulizi ya kimtandao dhidi ya Iran, Urusi, China na Korea Kaskazini, akidai kuwa nchi hizo zinafanya shughuli za kimtandao zinazotishia maslahi na mfumo wa maisha wa Uingereza.

    2026-11-20 16:47
  • Wahudumu 81 wa Afya wa Palestina Wanateswa katika Magereza ya Israel

    Wahudumu 81 wa Afya wa Palestina Wanateswa katika Magereza ya Israel

    Wizara ya Afya ya Gaza imeonya kuhusu hali ya wahudumu 81 wa afya wa Palestina wanaoshikiliwa katika magereza ya Israel, ikieleza kuwa wanakabiliwa na mateso, kunyimwa huduma za matibabu na mazingira yasiyo ya kibinadamu. Wizara hiyo imetaka waachiliwe huru mara moja na bila masharti.

    2026-11-20 16:42
  • Ujuzi wa Kuwa Mja wa Mwenyezi Mungu | Swali Linalovunja Kiburi cha Mwanadamu

    Ujuzi wa Kuwa Mja wa Mwenyezi Mungu | Swali Linalovunja Kiburi cha Mwanadamu

    Kutambua udhaifu na uhitaji wa kiroho ni mwanzo wa safari ya mwanadamu kuelekea ukamilifu. Qur’ani Tukufu inaeleza kuwa mwanadamu anapoona kuwa hana haja na yeyote, huanza kuvuka mipaka. Hivyo, kujitambua kuwa bado ana mapungufu katika ibada na mwenendo wake ni hatua muhimu ya kujenga unyenyekevu na kumkaribia Mwenyezi Mungu.

    2026-11-20 16:36
  •  Uchambuzi wa nafasi ya vijana, changamoto zinazowakabili na wajibu wa jamii katika kuwaandaa kwa maisha bora

    Vijana na changamoto za leo (1):

     Uchambuzi wa nafasi ya vijana, changamoto zinazowakabili na wajibu wa jamii katika kuwaandaa kwa maisha bora

    Ujana ni neema kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu na fursa muhimu ya kujijenga kielimu, kiimani, kitabia na kiuchumi. Jamii inapaswa kuwaelewa, kuwaongoza na kuwaandaa vijana kukabiliana na changamoto za maisha ya sasa badala ya kuwalaumu pekee.

    2026-11-20 16:28
  • Uislamu Umefafanua Sababu za Umaskini: Je, Umasikini Ni Mtihani wa Mwenyezi Mungu au ni Matokeo ya Mazingira na Matendo ya Mwanadamu?

    Uislamu Umefafanua Sababu za Umaskini: Je, Umasikini Ni Mtihani wa Mwenyezi Mungu au ni Matokeo ya Mazingira na Matendo ya Mwanadamu?

    Uislamu unaeleza kuwa umaskini si lazima uwe ishara ya ghadhabu za Mwenyezi Mungu, kama ambavyo utajiri si uthibitisho wa kupata radhi Zake. Umaskini unaweza kutokana na mtihani wa Mwenyezi Mungu, mazingira ya maisha, dhuluma za kijamii na kiuchumi au baadhi ya maamuzi na matendo ya mwanadamu.

    2026-11-20 13:30
  • Trump amenaswa katika mtego wa vita dhidi ya Iran; Uingereza na Israel zinaweka shinikizo kwa Ikulu ya White House ili kuanzisha tena vita

    Mchambuzi wa masuala ya kijiopolitiki katika mahojiano na ABNA:

    Trump amenaswa katika mtego wa vita dhidi ya Iran; Uingereza na Israel zinaweka shinikizo kwa Ikulu ya White House ili kuanzisha tena vita

    Alex Krainer: Ukweli kwamba Trump amekuwa akishinikizwa kuishambulia Iran kutoka katika vyanzo viwili tofauti - Waingereza mwaka 2019 na Waisraeli mwaka 2026 - unaonyesha kuwa suala hili linaendeshwa kutoka katika ngazi ya juu zaidi. Kwa maoni yangu, ngazi hiyo ni mtandao wa oligarki za kifedha ulioko katika Jiji la London (City of London).

    2026-11-20 13:14
Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom