Kiarabu
-
Doha kuandaa mkutano wa dharura wa Kiarabu-Kiislami baada ya shambulio la Israel
Ijumaa, Qatar ilikaribisha hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kulaani shambulio la Israel dhidi ya ujumbe wa Hamas mjini Doha, ikilitaja shambulio hilo kama “la usaliti” na ukiukaji wa kanuni za kimataifa.
-
Hakim: Kimya mbele ya uvamizi wa Israel hakikubaliki
Sayyid Ammar Hakim amesema kuwa ujasiri wa hali ya juu na dharau ya wazi ya utawala wa Kizayuni katika kuvamia nchi za Kiarabu na Kiislamu, na kutenda jinai za kila siku dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza, Ukingo wa Magharibi, Syria, Lebanon, Yemen, Iran na Qatar ni jambo ambalo kimya dhidi yake hakikubaliki.
-
Kitabu cha Lugha Tatu Kuhusu Tamasha la Kitaifa la Alama ya Ukarimu Chapishwa Hivi Karibuni
Kwa mujibu wa Sekretarieti ya Kisayansi na Tathmini ya Tamasha, mchakato wa ukusanyaji na uhariri wa juzuu ya kwanza ya kitabu hiki upo katika hatua za mwisho.
-
Kwa nini Qur'an inahitaji Tafsiri? | Sehemu ya Kwanza
Ili kuelewa Aya za Mutashabihat, tunahitaji wataalamu (wajuzi) wa Tafsiri ambao wanaweza kufafanua kwa kutumia Aya nyingine au zingine na elimu ya dini.
-
Waqfu wa Kiongozi wa Mapinduzi 5 / Mtoaji mkubwa wa Waqfu wa Nakala za Maandishi ya Kale katika historia ya Haram Tukufu ya Razavi
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi, pamoja na Waqfu mbalimbali alizotoa kwa Haram Tukufu ya Razavi katika zaidi ya miaka 40 iliyopita, ametoa waqfu wa vitabu vingi vya kale kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya Haram Tukufu ya Razavi.