Njia
-
“Ikiwa riziki imeamuliwa, kwa nini tunapaswa kufanya kazi?”
Mara nyingi huulizwa: “Ikiwa riziki ya kila mtu imehakikishwa na imepangwa na Mwenyezi Mungu, basi nafasi ya kazi, jitihada, na kupanga mipango ni ipi?” Je, imani kwa takdiri ya Mungu inamaanisha kuacha kutumia njia halisi na kusubiri pasipo kufanya lolote?
-
Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni wa Kiislamu wa Bahrain:
Kujiondoa kwenye njia ya Muqawama (Mapambano ya kupinga dhulma) ni sawa na fedheha na udhalili
Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni wa Kiislamu wa Bahrain alisisitiza kuwa kuacha njia ya Muqawama (mapambano dhidi ya wavamizi na dhulma) hakuzai chochote isipokuwa fedheha, udhalilishaji na utumwa.
-
Sadra’i Aarif:
Kuonekana kwa Arubaini katika anga za kimataifa ni msaada katika kutekeleza ustaarabu wa Kiislamu
“Msimamizi wa tukio la pili la Vyombo vya Habari la Nahnu Abna’u Al-Hussein (as) amesema: Tunaona juhudi wazi za kuzuia Habari kuhusu Arubaini, na njia bora zaidi ya kuvunja vizingiti hivi vya vyombo vya habari ni kutumia jukwaa la Vyombo vya Habari.”
-
Watu Zaidi ya Milioni 21 Wamehudhuria katika Arubaini ya Imam Hussein (a.s) kwa Mwaka huu wa 1447 Hijria / 2025
Kulingana na taarifa ya Haram Tukufu ya Abasi, idadi ya mahujaji waliohudhuria maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (a.s) mwaka huu imefikia milioni 21,103,524.
-
"Sifa Sita za Muumini Zinazomhakikishia Pepo"
Maelezo yafuatayo yanaeleza matendo au sifa sita ambazo kuyatekeleza kunaweza kusababisha wokovu na kuingia peponi. Mambo haya sita ni nguzo za msingi za maisha ya kiimani na yenye kujitolea. Maandiko haya yanalenga, kwa kuyataja mambo haya, kutoa njia iliyo wazi kuelekea kwenye furaha ya Akhera.
-
Kuwekwa kwa Vikosi Maalum vya Hashd al-Shaabi Kwenye Njia ya Najaf Hadi Karbala
Maafisa wa Hashd al-Shaabi nchini Iraq wameanza kupelekwa rasmi katika njia ya kutoka Najaf kuelekea Karbala kwa ajili ya kulinda usalama wa maelfu ya waumini wanaotembea kwa miguu kwenda kumzuru Imamu Hussein (a.s). Hatua hii ni sehemu ya mpango wa kusimamia matembezi ya mamilioni ya waumini, unaolenga kuimarisha amani, utulivu, na usalama wa mahujaji wa Arbaeen.
-
(Muqawamah) Kusimama dhidi ya Ubeberu ni Fahari ya Mataifa ya Waumini
"Kazi yetu kuu ni kuinua bendera ya Qur’an ili kwa kueneza mtindo sahihi wa maisha, jamii ya Kiqur’ani iweze kuundwa. Ikiwa nchi za Kiislamu zitaifuata Qur’an, zitauweza kuwalazimisha maadui kurudi nyuma"
-
Njia ya Karbala: Safari ya Kiroho Isiyoisha - Kila Hatua ni Mstari wa Mapenzi kwa Hussein (a.s)
Safari ya Arubaini katika Ardhi ya Karbala, inatengeneza Ukaribu wa Kiroho na Hussein (a.s) Katika Kila Hatua unayoipiga ukielekea kumzuru Aba Abdillah Al-Hussein (as).
-
“Nunua Pepo kwa Matendo Haya Machache” – Kwa Mujibu wa Qur’an na Hadithi
Qur’an (Al-Israa: 23): “Na watendee wema wazazi wawili.” Hili ni agizo la moja kwa moja kutoka kwa Allah - ni njia ya hakika ya kuelekea Peponi.