21 Julai 2025 - 22:46
Njia ya Karbala: Safari ya Kiroho Isiyoisha - Kila Hatua ni Mstari wa Mapenzi kwa Hussein (a.s)

Safari ya Arubaini katika Ardhi ya Karbala, inatengeneza Ukaribu wa Kiroho na Hussein (a.s) Katika Kila Hatua unayoipiga ukielekea kumzuru Aba Abdillah Al-Hussein (as).

Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Njia ya kuelekea Karbala, siyo safari ya mpito, bali ni kuinuka Kiroho daima.

Na kila anayeitembea, huandika mstari usiofutika katika ukurasa wa mapenzi  ya kweli na ashiki ya Imam Hussein (as).

Kwa ibara nyingine: Safari ya Ziara ya Karbala si Mwendo tu, Bali ni Maandishi ya Upendo wa Milele kwa Imam Hussein (as) - Mjukuu Kipenzi wa Mtume Muhammad (s.a.w.w). Ni njia inayounganisha safari na Ukurasa wa ashiki isiyofutika. 

Aidha, njia hiyo ya safari ya Arubaini katika Ardhi ya Karbala, inatengeneza Ukaribu wa Kiroho na Hussein (a.s) Katika Kila Hatua unayoipiga ukielekea kumzuru Aba Abdillah Al-Hussein (as).

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha