“mimi siko hapa kwa ushari, au kutaka ugomvi ila niko hapa kwa ajili ya kurejesha heshima ya dini tukufu ya babu yangu mtume Muhammad s.a.w, niko hapa kuamrisha mema na kukataza uovu, niko hapa kusahihisha itikadi na imani za waislamu”.
Katibu mkuu wa Hizbollah, Sayyid Hasan Nasrullah amesema kuwa, machafuko na vitisho vilivyopo hivi sasa, haviwezi kutuzuia kufanya maombolezo ya Imam Husein a.s