misri
-
Maandamano yazuia majaji kufika mahakamani Misri
Maandamano makali ya kupinga hukumu ya mahakama iliyomtoa hatia ya mauaji Dikteta Hosni Mubarak yamepelekea majaji kushindwa kufika mahakamani.
-
Watu wawili wameuwawa katika maandamano nchini Misri
Watu wawili wameuwawa katika ghasia kati ya Polisi wa Misri na waandamanaji mjini Cairo baada ya mahakama moja nchini humo kumfutia mashitaka ya mauaji rais wa zamani Dikteta Hosni Mubarak.
-
Maandamano makubwa kupinga uamuzi wa mahakama Misri
Baada ya mahakama ya Misri kufuta mashtaka ya mauaji ya rais wa zamani wa Misri Dikteta Hosni Mubarak, wananchi wenye hasira kali wameanza maandamano kupinga uamuzi huo.
-
Mahakama yamfutia mashtaka ya mauji dikteta Hosn Mubarak
Mahamakama ya Misri imemfutia dikteta Hosn Mobarak mashtaka ya mauaji ya waandamanaji wa mwaka 2011.
-
Hali ya amani na utulivu wa Misri yazidi kuwa mbaya
Watu wapatao wanne wameuwawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mji mkuu wa Misri, Cairo, wakati maelfu ya watu walipojitokeza kuandamana kuipinga serikali ya rais wa nchi hiyo Abdel Fatah al-Sisi.
-
Mabomu yalipuka barozi za Misri na Emiret zilizopo Libya
Mabomu yameripuliwa karibu na ofisi za ubalozi wa Misri na falme za nchi za kiarabu-Emireti katika mji mkuu wa Libya-Tripoli. Majumba na maduka ya karibu na ofisi hizo yameharibiwa.