Main Title

source :
Jumapili

5 Mei 2024

19:14:48
1456363

Sisitizo la Iran kuhusu Palestina kupewa uanachama kamili katika Umoja wa Mataifa

Amir Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza umuhimu wa Palestina kuwa mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa.

source :
Jumapili

5 Mei 2024

19:14:13
1456362

Hamas: Hakuna mapatano bila kukomesha mauaji na jinai za vita za Israeli huko Gaza

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Wapalestina, Hamas, imesema kwamba, haitakubali mapatano ambayo hayatakomesha kabisa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala wa Israel vilivyoendelea kwa takriban miezi saba sasa dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:13:18
1455926

Wanajeshi wa Russia waingia kambi ya wanajeshi wa Marekani nchini Niger

Wanajeshi wa Russia wameingia katika kambi ya Jeshi la Anga la Niger ambayo pia ina wanajeshi wa Marekani baada ya serikali ya Niger kuamuru vikosi vya jeshi la Marekani kuondoka nchini humo.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:12:52
1455925

Waziri wa Biashara na Viwanda wa Niger asisitiza juu ya kuimarisha uhusiano na Iran

Waziri wa Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Niger amesisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano baina ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja mbalimbali zikiwemo za kiuchumi.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:12:06
1455924

Trump: Nikichaguliwa kuwa Rais nitarejesha marufuku ya Waislamu kuingia Marekani

Donald Trump mgombea anayetarajiwa kuteuliwa na chama cha Republican kuwania kkiti cha urais nchini Marekani amesema kuwa, akichaguliwa atarejesha tena marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye Waislamu wengi katika siku ya kwanza ya utawala wake mpya.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:11:32
1455923

Kuongezeka ukatili dhidi ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani wanaounga mkono Palestina

Huku maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Marekani yakiendelea kufanyika kwa lengo la kupinga jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza na vilevile kwa ajili ya kuwaunga mkono Wapalestina, polisi wa nchi hiyo wameongeza hatua zao za ukandamizaji dhidi ya wanafunzi hao.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:10:50
1455922

Iran yaziwekea vikwazo kampuni na maafisa wa Marekani, Uingereza kwa kuhusika na ugaidi

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeyawekea vikwazo mashirika na watu binafsi wa Marekani na Uingereza kwa kuhusika na ugaidi na ukiukaji wa haki za binadamu kupitia kufadhili vitendo vya kinyama vya Israel dhidi ya Wapalestina, hasa wale wa Ukanda wa Gaza.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:09:39
1455921

Iran: Palestina inapaswa kuwa mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa

Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza udharura wa kukubaliwa Palestina kama mwanachama kamili wa Umoja wa Mataifa.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:09:00
1455920

Khatibu wa Swala ya Ijumaa: Operesheni ya Ahadi ya Kweli iliyonyesha uwezo wa kijeshi wa Iran

Imamu wa muda Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema: Iran ilionyesha uwezo wake wa usimamizi wa masuala ya kijeshi katika operesheni pana na ya kiwango cha juu zaidi ya ndege zisizo na rubani na makombora dhidi ya utawala wa Kizayui wa Israel.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:08:28
1455919

Kukatwa kikamilifu uhusiano wa Colombia na utawala wa Kizayuni; kuendelea kutengwa Tel Aviv kimataifa

Rais Gustavo Petro wa Colombia alisema siku ya Jumatano tarehe Mosi Mei katika hotuba yake kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kuwa kuanzia Alhamisi amekata kikamilifu uhusiano wa nchi hiyo na utawala wa Kizayuni kwa sababu ya jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo huko Ukanda wa Gaza.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:07:39
1455918

Uturuki yasitisha biashara na Israel kulalamikia maafa ya kibinadamu Gaza

Serikali ya Uturuki imetangaza kuwa, imesitisha biashara zote na utawala ghasibu wa Israel kutokana na mashambulizi yake huko Gaza, ikitoa mfano wa "janga la kibinadamu linalozidi kuongezeka" katika ukanda huo.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:07:07
1455917

Ansarullah ya Yemen: Mauaji ya kimbari imekuwa tabia ya kila siku ya Wazayuni

Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameichukulia mienendo ya kila siku ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.

source :
Ijumaa

3 Mei 2024

14:06:34
1455916

Ujenzi mpya wa Gaza waweza kuchukua miaka 80 kukamilika, kuna uharibifu ambao haujawahi kuonekana tangu Vita vya Dunia

Afisa wa Umoja wa Mataifa anasema uharibifu uliosababishwa na vita vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza haujawahi kuonekana tangu Vita vya Pili vya Dunia, huku akikadiria kuwa ujenzi mpya wa eneo hilo la Palestina unaweza kuchukua miaka 80 na kugharimu hadi dola bilioni 40.

source :
Alhamisi

2 Mei 2024

16:32:36
1455780

Hakan Fidan: Uturuki itaomba kujiunga katika kesi ya mauaji ya kimbari inayoikabili Israel huko ICJ

Hakan Fidan Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa nchi hiyo itaomba kuwa sehemu ya kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya Israel. Itakumbukwa kuwa serikali ya Afrika Kusini imefungua kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mauaji yake ya kimbari huko Gaza.

source :
Alhamisi

2 Mei 2024

16:32:06
1455779

Uingereza yaanza kuwashikilia wahamiaji wanaotarajiwa kupelekwa Rwanda

Mamlaka husika nchini Uingereza zimeanza kuwashikilia wahamiaji kama sehemu ya maandalizi ya kuwahamishia nchini Rwanda katika muda wa wiki 9 hadi 11 zijazo. Serikali ya London ilitangaza taarifa hiyo jana ikiashiria hatua muhimu katika mkakati wa uhamiaji unaotekelezwa na Waziri Mkuu Rishi Sunak.

source :
Alhamisi

2 Mei 2024

16:31:36
1455778

Iran na Afrika ya Kati kuimarisha ushirikiano wa sekta ya madini

Waziri wa Biashara Ndogo na za Kati wa Afrika ya Kati ametangaza utayarifu wa nchi yake wa kushirikiana kikamilifu na Iran katika uchimbaji madini.

source :
Alhamisi

2 Mei 2024

16:31:04
1455777

Iran yakaribisha kuendelea mazungumzo kati yake na Umoja wa Ulaya

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekaribisha na kuunga mkono kuendelea kufanyika mazungumzo kati ya Umoja wa Ulaya na Iran ili kusogeza mbele ushirikiano wa pamoja na kusema: Ushirikiano kati ya wakala wa IAEA na Iran upo katika njia nzuri.

source :
Alhamisi

2 Mei 2024

16:30:31
1455776

Iravani: Madai ya uwongo ya Israel dhidi ya Iran; juhudi za kuupotosha ulimwengu kuhusu jinai za Gaza

Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameyataja madai ya uwongo ya Israel dhidi ya Iran kuwa ni juhudi zenye lengo la kupotosha mazingatio ya walimwengu kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.

source :
Alhamisi

2 Mei 2024

16:30:02
1455775

Maoni ya Kiongozi Muadhamu: Gaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Gaza ndilo suala la kwanza kwa mfumo wa Ulimwengu.

source :
Alhamisi

2 Mei 2024

16:29:35
1455774

Iran na Uganda zaazimia kupanua ushirikiano katika uga wa mawasiliano na teknolojia ya habari

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Iran ametangaza utayari wa taifa hili wa kushirikiana na Uganda katika miradi ya mawasiliiano na teknolojia habari na uhamishaji wa taaluma hiyo kkwa taifa hilo la Afrika Mashariki.