6 Agosti 2024 - 12:44
Msimbo wa Habari: 1476959
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Haram Takatifu ya Amirul Muuminina (amani iwe juu yake), katika Mji wa Najaf al_Ashraf, Usiku wa kwanza wa Mwezi wa Safar, ilikuwa mwenyeji wa Waumini na Wapenzi wa Familia ya Isma na iliyotoharika.