11 Mei 2025 - 16:15
News ID: 1557030
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la AhlulBayt (as) – ABNA – Jiji la Stockholm, Mji Mkuu wa Sweden, limekuwa mwenyeji wa maandamano ambapo waandamanaji walionesha mshikamano na wananchi wa Gaza kwa kuigiza uhalifu wa utawala wa Kizayuni na kulaani vikali kuendelea kwa vita na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
Your Comment