9 Agosti 2025 - 12:50
Ayatullah Al_Udhma Sistani Atuma Msaada wa Kibinadamu Gaza Kutoka Najaf + Video

Kiongozi huyu mashuhuri wa Kishia, ambaye ni mamlaka ya juu ya kidini nchini Iraq na mwongozo kwa mamilioni ya Waislamu wa Kishia duniani kote, amesisitiza umuhimu wa kuwasaidia watu wote wa Gaza wenye uhitaji, akiendeleza utamaduni wa ukarimu wa Iraq unaoonekana wakati wa ziara za Arubaini, ambapo Wairaq huwakaribisha na kuwahudumia watu wote bila kujali dini zao, Madhehebu zao wala rangi zao.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kwa mujibu wa maelekezo ya Ayatullah Al_Udhma, Sayyid Ali Sistani, ametuma msaada wa kibinadamu ukiwemo mahitaji ya chakula, huduma za matibabu, na msaada wa kifedha ambao umefika salama Gaza kutoka Najaf Al-Ashraf

Kiongozi huyu mashuhuri wa Kishia, ambaye ni mamlaka ya juu ya kidini nchini Iraq na mwongozo kwa mamilioni ya Waislamu wa Kishia duniani kote, amesisitiza umuhimu wa kuwasaidia watu wote wa Gaza wenye uhitaji, akiendeleza utamaduni wa ukarimu wa Iraq unaoonekana wakati wa ziara za Arubaini, ambapo Wairaq huwakaribisha na kuwahudumia watu wote bila kujali dini zao, Madhehebu zao wala rangi zao.

Your Comment

You are replying to: .
captcha