Sherehe adhimu ya mwaka wa 1,500 tangu kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) pamoja na kuzaliwa kwa Imam Ja‘far al-Sadiq (a.s) imefanyika katika Chuo cha Kisayansi cha Hazrat Zainab (s.a) Kigamboni - Dar es Salaam, Tanzania, kwa kuhudhuriwa na idadi kubwa ya wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s).
Video | Sherehe Adhimu na ya Hamasa kubwa ya Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) kwa Kuzaliwa kwa Mtume wa Rehema (saww) na Imam Sadiq (as) nchini Tanzania
15 Septemba 2025 - 22:28
News ID: 1727344
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Kutoka Dar es Salaam - Tanzania, Sherehe adhimu ya mwaka wa 1,500 tangu kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.w) pamoja na kuzaliwa kwa Imam Ja‘far al-Sadiq (a.s) imefanyika katika Chuo cha Kisayansi cha Hazrat Zainab (s.a) Kigamboni - Dar es Salaam, Tanzania, kwa kuhudhuriwa na idadi kubwa ya wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s). Shule hii yenye kutoa ilmu na maarifa matukufu ya kidini inafanya kazi chini ya usimamizi wa tawi la Jami‘at al-Mustafa (s) nchini Tanzania.
Your Comment