Kwa mujibu wa shirika la habari la Abna, Kazem Gharibabadi amesema kuwa kuwekwa kwa manowari za kivita kutoka nje ya eneo hilo karibu na Mlango wa Hormuz kwa kisingizio cha kulinda usafiri wa baharini, ni "kuongeza mzozo na kukitisha eneo la maji la muhimu." Ametahadharisha kwamba uwepo wa manowari za Ufaransa, Uingereza au nchi nyingine yoyote utakabiliana na "jibu kali na la haraka" la vikosi vya kijeshi vya Iran.
Naibu waziri wa mambo ya nje wa Iran katika masuala ya kisheria na kimataifa amejibu upelekaji wa manowari za kivita za Ufaransa na Uingereza katika eneo hilo na kusisitiza: Usalama wa Mlango wa Hormuz unahakikishwa na Iran pekee.
Your Comment