19 Machi 2011 - 20:30

Ahmad Hasan hajiriy kijana wa Bahrain akiwa mbele ya kuongozi Muadhamu machozi yakimtiririka na kulia huku akisema: Je! Mnafahamu kuwa sisi Watoto wake tunaishi ugenini ambapo kuwa mbali nae?

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(AS)-ABNA- mamia ya Vijana wa wanapinduzi na Nchi 73 kushiriki katika kongamano la muamko wa kiislamu na Vijana, na baadhi ya Nchi zilizoshiriki ni; Misr, Tunisia, Libya, Yemen, Bahrain, Lebanon, Iraq, Afghanistan, Palestin na Pakistan.

Kongamano hilo lilianza asubuhi jana Jumatatu wakishiriki katika kongamano hilo kirafiki na kuhudhuriwa na Kiongozi wa Mapinduzi ya Iran Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.

Kuanza kongaman hilo walianza Vijana kutoka Nchi mbali mbali kumhutubia Kiongozi Muadhamu Sayyid Ali Khamenei, na mmoja kati hao Vijana waliomuhutubia Kiongozi Muadhamu ni Ahmad Hasan Hajiriy kutoka Bahrain alimuhutubia Ayatullah Khamenei akichuruzika machozi na kulia kwa mapenzi ya Khamenei huku akisifia kwa maneno ya ajabu akisema: (AMANI YA ALLAH IWE JUU YA MTOTO WA MTUME WA MWENYEZI MUNGU…NIMEKUKABIDHI MOYO WANGU NA MYO YA VIJANA WOTE WAMAPINDUZI, PINDI ANAPODONDOKA SHAHIDI MMOJA MMOJA  SISI TUNAKUWA TUNAVUTA REHE YA KARAMA KUTOKA KATIKA BUSTANI SAYYID IMAM KHOMAIN NA DAIMA TUNAKUMBUKA MANENO YAKE.

JE! MNAFAHAMU HASA BAHRAIN KUA SISI WATOTO WAKE TUNAISHI KATIKA UGENI?...(kiliyo cha wahudhuriaji)

AMANI YA MWENYEZI MUNGU IWE JUU YAKO ALLAH AKUHIFADHI…ALLAH AKUHIFADHI INSHAALLAH.)

Na kijana huo hakuongea sana kwa mapenzi aliokuwa nayo kwa Imam Khomein.

Maneno yake katika lugha ya Kiarabu:

     

«سلام علیک یا بن رسول الله...

فداک روحی و ارواح هؤلاء الشباب المقاومین جمیعاً. حینما تساقط شهدائنا واحداً تلو الآخر کنّا نشم نسیم الکرامة من حدیقة الامام الخمیني و نتذکر کل کلماتکم المبارکة.

هل تعلمون ـ خصوصاً فی البحرین ـ هل تعلمون بأننا فی موطن ابنائه فی ارضهم غرباء؟ ...

سلام علیکم مولاي... الله یحفظکم... الله یحفظکم ان شاء الله».