19 Machi 2011 - 20:30

ABNA inatuarifu kuwa:Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi amewasili nchini Syria kwa minajili ya kuongea na rais Omar al Bashir.

Sergei Lavrov alikutana na kuongea na serikali ya Syria katika jitihada za kuleta amani nchini Syria.Lavrov alisema " rais Omar al Bashar amekubali kushirikiana katika kuhakikisha kwamba amani inarudi nchini Syria na Urusi itakuwa miongoni wa wasimamizi mazungumzo na viongozi wa upinzani"

habari kutoka ofisi ya rais Asad zinasema " Uongozi wa serikali ya Syria upo tayari na unawakaribusha watazamaji kutoka nchi za jumuiya ya nchi za Kiarabu kuleta wajumbe wake waje kuangalia hali harisi."