Shrika la Habari la Ahlul Bayt(a.s)ABNA: Rais Muhammad Mursiy”Rai wa jamhuri ya Misri”amekutana na Mahmudi Abasi kingozi wa Palestina katika ikulu ya nchi hiyo mjini Cairo, katika mkutano huo wamezungumzia masuala ya umoja wa kitaifa wapalestina na juhudi za Misri katika kutatua matatizo ya wapaletina.Katika mkutano huo alihudhuria waziri wa mambo ya nje wa Misri”Muhammad Kamil” na Swaibu Arikati “msiamamizi mku wa mazungumzo ya Palestina, msemaji mkuu wa serikali ya Palestina na balozi wa Paletina mjini Cairo.
5 Septemba 2012 - 19:30
Msimbo wa Habari: 345207
Kabla ya adhuhuri ya Alhamisi yaleo Rais Muhammad Mursiy amekutana na Mahmudi Abasi katika ikulu ya nchi hiyo mjini Cairo