2 Oktoba 2012 - 20:30

Mtoto wa kike wa Muhamed Anwar Sadat alipokuwa akiashiria kuwa kifo cha ilikuwa ni fitna kubwa, alisisitiza kuwa Husni Mubararaka alishiriki katika mauaji ya marehemu baba yangu

Shirika la Habari Ahlul Bayt(a.s)-ABNA:(Rukia Anwar Sadat) mtoto wa Anwar Sadat Rais wa wazamani Misri kabla ya Mubaraka, miaka kadha baada ya kuuwawa baba yake bado anaamini kuwa kuuwawa kwa baba yake ilikuwa ni fitna kubwa ambayo walishiriki watu wenye vyeo vikubwa katika Serikali ya zama zile.Naye alisema: Husni Mubaraka Rais wa zamani wa Misri kwasababu ya kupanga mbinu za tukio hilo na kuficha maelezo yote yanayo husu mauaji ya Anwar Sadat pia ameshiriki katika mauaji hayo.Rukia Sadat kunako mikutano ya maficho kati ya Mubaraka na wakuu wa Pentagon siku kadhaa kabla ya kuuwawa Anwar Sadat aliashria na kusema: kitu gani kilichopelekea baada ya kuuwawa baba yangu urais moja kwa moja kupewa Husni Mubaraka.Anwar Sadat ni Rais wa tatu kati ya marais wa Jamhuri ya Misri na ameuliwa kwaajili ya kuitambua rasmi Serikali yakidhalimu ya kizayuni, na aliuliwa kupitia Khalid islambuliy mmoja kati ya wanachama wa jumuia ya jihadi ya kiislamu Misri.