10 Novemba 2012 - 20:30

Televisheni ya Al-Arabia imeripoti kua Israel imevamia Syria kwa makombora kadhaa.

Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Televisheni ya Al-Arabia muda ulopita ilitaarifu kua Israel livamia na kurusha makombora katika milima ya Julaan.

Tangu mwaka 1973 na vita ya October hii mara ya kwanza Israel kuvamia katika milima ya Julaan.