Hamas imetoa onyo hilo kali baada ya kushuhudia kuwa utawala dhalimu wa Israel unaendelea kujenga vitongoni vipya kwa kasi na pia wanaendeleakuzuia raia wa Parestina kufanya ibada katika Masjidil Aqswaa yafaa kuashiria kwamba utawala dhalimu wa Israel unawatoa waparestina katika majumba yao kwa nguvu na kujenga vitongoji hivyo. lakini jambo la kushangaza ni kwamba si Umoja wa mataifa wala watetezi wa haki za binadamu si waarabu wala si waislamu wenye kutilia umuhimu suala hili adhimu.
18 Desemba 2012 - 20:30
Msimbo wa Habari: 373625
wanamgambo wa Hamas wameonya utawala dhalimu wa Israel kutoendelea na ujenzi wa Vitongoji Vipya cha mazayuni katika ardhi ya Parestina