
15 Februari 2013 - 20:30
Msimbo wa Habari: 391488
Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Zaidi ya watu 300 wakiwemo Wanawake siku ya Ijumaa waliandamana dhidi ya utalawa wa kifalme Bahrain katika sherehe na kumbukumbu za mapinduzi ya nchi hiyo na siki hiyo iliitwa siku ya KUITIKA WITO WA NCHI. Wananchi wa Bahrain huu ni mwaka wa 2 waandamana dhidi ya utawala wa kidikteka wa Bahrain.