20 Machi 2013 - 20:30

Mtoto wa baba mdogo wa dikteta wa zamani wa Libya Gaddafi ajisalimisha baada ya kuzingirwa nyumbani kwake na jeshi la ulinzi nchini Misri

Shirika la habari la AhlulBayt(a.s)-ABNA: Ahmad Gaddafi Aldum (mtoto wa baba mdogo wa dikteta aliyepinduliwa nchini Libya) baada ya kupinduliwa kakayake alikuwa akiishi sehemu za matajiri nchini Misri, na amejisalimisha katika jeshi la Polisi baada ya kuzingirwa nyumbani kwake.Shirika la habari la Mashariki ya kati limetangaza kuwa Gaddafi Aldum atakabidhiwa kwa uongozi mpya wa Libya kwaajili ya kuhukumiwa.Kwaupande mwengine pia Gaddafi Aldum alisema atafanya mashitaka dhidi ya Serikali ya Libya kuwa, ama Serikali ya Libya mpaka sasa mara kadha ilishatoa maombi kwa Serikali ya Misri kuitaka kumrejshe Gaddafi Aldum nchini humo ili kumuhukumu