Kundi la wapiganaji wa kiisilamu nchini Nigeria, Boko Haram, wamewateka wasichana wengine wanane Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.
kundi hili limekuwa likikataza wanatu kusoma elimu isiyokuwa na dini na kwa madai kuwa ni haramu kusoma elimu isiyokuwa ya dini.
Mnamo siku ya Jumatatu, kiongozi wa kundi hilo alitishia kuwauza wanafunzi 230 waliotekwa nyara na kundi hilo katika shule ya Chibok tarehe 14 mwezi Aprili.
aghalabu ya Wasichana waliotekwa wana umri kati ya miaka 12 na 15.
6 Mei 2014 - 16:07
Msimbo wa Habari: 606923
kundi la wapiganaji wa kiisilamu nchini Nigeria, Boko Haram, wamewateka wasichana wengine wanane Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.