Brigedia General Ahmad Geravand amesema: mipaka ya Iran iko na amani ya kutosha na hakuna tishio lolote la kigaidi au uvunjaji wa amani katika mipaka ya Iran.
mkuu huyo wa majeshi aliongeza kusema kuwa: pamoja na kuwepo machafuko, uvamizi na mashambulio ya kigaidi katika nchi jiran na Iran, mipaka ya Iran iko salama na hakuna tishio lolote dhidi ya Jamhuri ya kiislam ya Iran na raia wake,
mipaka ya Iran inalindwa kwa mitambo na vifaa vya kisasa na vyenye uwezo wa hali ya juu. pia ushikiano wa majeshi ya Iran ikiwemo jeshi la mapinduzi,Jeshi la ulinzi,Usalama wa taifa na wananchi wema
.
alimalizia kwa kusema: Jaribio lolote la kuvunja amani ya Iran litakabiliwa na mashambulizi mazito.
12 Septemba 2014 - 11:28
Msimbo wa Habari: 637265
Brigedia General Ahmad Geravand amesema: mipaka ya Iran iko na amani ya kutosha na hakuna tishio lolote la kigaidi au uvunjaji wa amani katika mipaka ya Iran.