ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterToday News
  • Maukib ya Wanafunzi wa Bara la Afrika Katika Nguzo ya 379, Njia ya Najaf hadi Karbala”

    Maukib ya Wanafunzi wa Bara la Afrika Katika Nguzo ya 379, Njia ya Najaf hadi Karbala”

    Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Kwa moyo mkunjufu, linatoa pongezi na shukrani kwa juhudi zenu nzuri kwa kuandaa Maukib hii.

    2025-08-08 13:44
  • Wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Al-Mustafa (s) Foundation wakihuisha Usomaji wa Dua ya Nudba Leo hii Mbezi Beach, Jijini Dar-es-Salaam

    Wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa cha Al-Mustafa (s) Foundation wakihuisha Usomaji wa Dua ya Nudba Leo hii Mbezi Beach, Jijini Dar-es-Salaam

    Matukio kama haya ya Usomaji wa Dua mbalimbali yanaongeza moyo wa ibada miongoni mwa wanafunzi na hutoa nafasi ya kuungana kiroho katika jamii ya hawza hiyo, huku yakihimiza umuhimu wa dua kama silaha ya waumini katika maisha ya kila siku.

    2025-08-08 13:17
  • Dua ya Nudba Yafanyika Leo hii Ijumaa Katika Hawza ya Mabanati ya Hazrat Zainab (sa), Kigamboni - Dar-es-Salam

    Dua ya Nudba Yafanyika Leo hii Ijumaa Katika Hawza ya Mabanati ya Hazrat Zainab (sa), Kigamboni - Dar-es-Salam

    Usomaji wa Dua wa namna hii kawaida huvutia ushiriki mkubwa wa Wanafunzi na Wapenzi wa Ibada na Dua, na kuleta hali ya utulivu wa kiibada katika mazingira ya Chuo hiki cha Kiislamu.

    2025-08-08 13:01
  • Onyesho la "Mchezo wa Kwanza" Lafanyika Katika Njia ya Arubaini

    Onyesho la "Mchezo wa Kwanza" Lafanyika Katika Njia ya Arubaini

    Onyesho la "Mchezo wa Kwanza" linaloongozwa na Mtayarishaji na Mkurugenzi Meisam Yusufi, litatekelezwa kama sehemu ya Maonyesho ya Tano ya Tamasha la Kimataifa la Tamthilia za Umma katika Njia ya Arubaini, linalojulikana kama "Riwaya za Wasafiri".

    2025-08-08 12:44
  • Kuzuiwa kwa njama ya ISIS ya kulenga Mazuwwari wa Arubaini / Magaidi 22 wakamatwa

    Kuzuiwa kwa njama ya ISIS ya kulenga Mazuwwari wa Arubaini / Magaidi 22 wakamatwa

    Gavana wa Karbala ametangaza kufanikiwa kuzuia njama ya kigaidi iliyolenga kushambulia mahujaji wa Arubaini wa Imam Hussein (a.s).

    2025-08-08 12:33
  • Chuo Kikuu cha Campinas, Brazil, Chataka Kukomeshwa kwa “Mauaji ya Kimbari Gaza”

    Chuo Kikuu cha Campinas, Brazil, Chataka Kukomeshwa kwa “Mauaji ya Kimbari Gaza”

    Baraza Kuu la Chuo Kikuu cha Jimbo la Campinas (Consu – Unicamp) katika kikao chake cha Jumanne, Agosti 5, 2025, limepitisha azimio linalotaka kukomeshwa kwa kile walichokiita “mauaji ya kimbari Gaza” na kulitaka Serikali ya Brazil kusitisha uhusiano wake wa kibiashara na kijeshi na Israel.

    2025-08-08 12:24
  • Hafla ya Kuwaenzi Mashahidi wa Ujasiri na Kumbukumbu ya Arobaini ya Mashahidi wa Uongozi wa Kidini katika Haram ya Bibi Fatima Maasumah (SA) +Picha

    Hafla ya Kuwaenzi Mashahidi wa Ujasiri na Kumbukumbu ya Arobaini ya Mashahidi wa Uongozi wa Kidini katika Haram ya Bibi Fatima Maasumah (SA) +Picha

    Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) – ABNA – hafla ya kuwaenzi mashahidi wa ujasiri na kuadhimisha kumbukumbu ya siku ya arobaini ya mashahidi wa uongozi wa kidini waliouawa katika Vita vya Kujihami vya Siku 12 dhidi ya utawala wa Kizayuni imefanyika katika Haram Tukufu ya Bibi wa Ukarimu, Sayyidat Fatima Maasumah (sa), kwa hotuba iliyotolewa na Hujjatul-Islam wal-Muslimin Abdullah Haji Sadiqi, Mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC), na qasida kutoka kwa Sayyid Ali Husseini Nejad, huku wananchi na wanazuoni wakihudhuria kwa wingi.

    2025-08-08 12:14
  • Usimamizi wa Uingiaji wa Maashura ya Kiirani Nchini Iraq Kufanywa na Ataba Tukufu ya Husseiniyya

    Usimamizi wa Uingiaji wa Maashura ya Kiirani Nchini Iraq Kufanywa na Ataba Tukufu ya Husseiniyya

    Kitengo cha Forodha na Mipaka kinachohusiana na Idara ya Mahusiano ya Umma cha Ataba Tukufu ya Husseiniyya, ambacho kimepewa majukumu haya, kina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 katika uwanja huu na kimekuwa kikifanya kazi kwa ufanisi mkubwa hata katika mazingira magumu zaidi ili kuhakikisha kuingia kwa maashura mjini Karbala kunafanyika kwa utaratibu na urahisi.

    2025-08-08 11:59
  • Maandamano Makubwa ya Wenyeji Lebanon Kupinga Uamuzi wa Serikali wa Kuvunja Silaha za Muqawama

    Maandamano Makubwa ya Wenyeji Lebanon Kupinga Uamuzi wa Serikali wa Kuvunja Silaha za Muqawama

    Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Lebanon wamefanya maandamano na mikutano ya hadhara kupinga uamuzi wa serikali wa kuhodhi na kuvunja silaha za vikosi vya Muqawama.

    2025-08-08 11:45
  • Washairi wa Kimataifa Waungana na Washairi wa Iran Kuadhimisha Mashahidi katika Usiku wa Mashairi ulioitwa: “Wasafiri wa Alfajiri”

    Washairi wa Kimataifa Waungana na Washairi wa Iran Kuadhimisha Mashahidi katika Usiku wa Mashairi ulioitwa: “Wasafiri wa Alfajiri”

    Katika hafla hii, washairi walitumia lugha ya fasaha na yenye kugusa hisia kueleza hadhi ya mashahidi, wakisoma mashairi yenye maudhui ya hisia, ujasiri na ucha Mungu, ambayo yalionyesha sio tu upendo wa kibinadamu bali pia dhamira ya kijamii, mwamko wa kiutamaduni na mshikamano wa kitaifa.

    2025-08-08 11:35
  • Mapendekezo Manne Muhimu Kutoka kwa Imam Hasan al-Mujtaba (a.s)

    Mapendekezo Manne Muhimu Kutoka kwa Imam Hasan al-Mujtaba (a.s)

    Hii ndiyo kanuni ya dhahabu ya uadilifu. Ikiwa tungekuwa tunapenda kutendewa kwa heshima, haki na upendo, basi nasi pia tuwape wengine hivyo.

    2025-08-08 11:18
  • Marekani Yapongeza Uamuzi wa Baraza la Mawaziri wa Lebanon wa Kulazimisha Udhibiti wa Silaha Mikononi mwa Serikali

    Marekani Yapongeza Uamuzi wa Baraza la Mawaziri wa Lebanon wa Kulazimisha Udhibiti wa Silaha Mikononi mwa Serikali

    Mjumbe wa Marekani afurahishwa na hatua ya baraza la mawaziri la Lebanon dhidi ya silaha za Muqawama.

    2025-08-08 00:44
  • Sudan Kusini na Israel: Ushirikiano wa Kistratejia au Mgongano wa Maslahi?

    Sudan Kusini na Israel: Ushirikiano wa Kistratejia au Mgongano wa Maslahi?

    Kwa ziara rasmi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Kusini nchini Israel, uhusiano wa muda mrefu lakini wa kimya wa mataifa haya mawili umeingia katika hatua mpya.

    2025-08-08 00:02
Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom