-
Ujerumani Yapokea Kundi la Kwanza la Wakimbizi wa Kiafghan Baada ya Miaka Mitatu ya Kusubiri
Baada ya miezi kadhaa ya kusubiri na shinikizo kutoka kwa mahakama, Ujerumani hatimaye imepokea kundi la kwanza la wakimbizi wa Afghanistan waliokimbia utawala wa Taliban.
-
Imam Al-Askari (a.s): Mwanga wa Elimu na Subira Akumbukwa katika Kituo cha Al_Kawthar, Kigoma +Picha
Kwa heshima ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa Imam Hasan Al-Askari (a.s), mmoja wa Maimamu wa Nyumba ya Mtume (s.a.w.w), Majlisi Maalum ya Maombolezo imefanyika katika Kituo cha Al-Kawthar (a.s) kilichopo Kigoma, nchini Tanzania, mnamo tarehe 8 Rabi’ul-Awwal 1447 Hijria.
-
Jamiat Al-Mustafa (s) - Dar-es-salaam | Umeme na Dini: Daraja Kati ya Maarifa ya Kidunia na Kiakhera +Picha
Darsa la Umeme limeendelea Leo hii katika Chuo cha Kisayansi cha Kimataifa cha Jamiat Al-Mustafa (s) - Dar-es-salaam.
-
Kwa Mapenzi ya Ahlul-Bayt (as): Hawza ya Mabinti ya Hazrat Zainab (sa) Yaadhimisha Kumbukumbu ya Shahada ya Imam Hassan Al-Askari (a.s) +Picha
Majlisi hii ilikuwa ni fursa muhimu ya kuonyesha mapenzi ya dhati kwa mjukuu kipenzi wa Mtume wetu Muhammad (s.a.w.w) na kuhuisha upendo wetu kwa Ahlul-Bayt (as).
-
Kumbukumbu ya Shahada ya Imam Hasan al-Askari (AS)
Mojawapo ya malengo ya Mitume na Maimam (amani iwe juu yao), ni kusimamisha uadilifu na usawa katika jamii. Kwa mujibu wa Qur'an na hadithi za Maimamu, jamii haiwezi kusimama bila ya uongozi wa Imam Mwadilifu atakayeongoza masuala ya kidini na kijamii. Imam ni mlinzi wa sheria na mwongoza watu kuelekea haki na mafanikio.
-
Kansela wa Ujerumani azitaka nchi za Ulaya zijiandae kwa vita vya muda mrefu vya Ukraine
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz amesema nchi za Ulaya zinapaswa zijiweke tayari kwa vita vya muda mrefu nchini Ukraine kutokana na kile alichokiita kusitasita kwa Russia kushiriki katika mazungumzo.
-
Sasa Uturuki yakata mahusiano yote ya kibiashara na Israel, yafunga anga, bandari kwa sababu ya Ghaza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan ametangaza kuwa nchi hiyo inafunga anga na bandari zake kwa ndege na meli za utawala wa kizayuni wa Israel, na kukata kikamilifu mahusiano yote ya kiuchumi na kibiashara na utawala huo kutokana na vita vyake vya mauaji ya kimbari unavyoendeleza huko Ghaza, Palestina.
-
US yawazuia viongozi wa PLO na PA kuhudhuria UNGA huku nchi zikijiandaa kuitambua Palestina
Marekani imebatilisha rasmi viza za maafisa wa Palestina, na kuwazuia kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA) utakaofanyika mwezi ujao wa Septemba mjini New York, makao makuu ya umoja huo, hatua ambayo inakuja wakati nchi kadhaa za Magharibi zinajiandaa kuitambua nchi ya Palestina.
-
Je, Ulaya imetumia kadi yake ya mwisho dhidi ya Iran?
Jarida la Foreign Policy limeashiria katika makala yake kuhusu hatua ya Ufaransa, Ujerumani na Uingereza ya kuanzisha mchakato wa kuanzisha utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Baraza la Usalama dhidi ya Iran (snapback) kutokana na mpango wake wa nyuklia.
-
Mwanaharakati Greta Thunberg: Hatuwezi kupata haki ikiwa tutaitenga Gaza
Mwanaharakati wa masuala ya hali ya hewa wa Uswidi, Greta Thunberg, ameikosoa jamii ya kimataifa kwa kushindwa kukomesha mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza, akionya kuwa haki haiwezi kupatikana huku masaibu ya Wapalestina yakipuuzwa.
-
Hamas: Wito wa Smotrich wa kuwaua watu wa Gaza kwa njaa na kiu ni kukiri mauaji ya kimbari
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa, wito uliotolewa na Waziri wa Fedha wa Israel mwenye itikadi kali, Bezalel Smotrich, wa kukata maji, umeme na usambazaji wa chakula katika Ukanda wa Gaza ni kukiri wazi sera za utawala huo vamizi za kutenda mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Palestina.
-
Mkuu wa Jeshi la Lebanon apinga kupokonywa silaha wapiganaji wa Hizbullah
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Lebanon ametishia kujiuzulu kutokana na mpango wa kuipokonya silaha harakati ya Hizbullah.