ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterToday News
  • Kutoka kwa Udanganyifu wa Shetani hadi Mapambano ya Gaza: Nafasi ya Vyombo vya Habari Katika Kufichua Ukweli

    Kutoka kwa Udanganyifu wa Shetani hadi Mapambano ya Gaza: Nafasi ya Vyombo vya Habari Katika Kufichua Ukweli

    Vyombo vya habari vya upinzani vimefanikiwa kugeuza mapambano ya Palestina kutoka katika simulizi ya ndani hadi kuwa gugufumu wa kimataifa wa haki. Kwa kutumia mbinu za kisasa na uelewa wa kihistoria, vyombo hivi vimeweza kuibua mwamko wa umma wa dunia – na jukumu hili linahitaji kuimarishwa kila siku kwa nguvu, mshikamano na ukweli.

    2025-09-03 16:11
  • Macron: Kuzuia Palestina Kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa ni Kitendo Kisichokubalika

    Macron: Kuzuia Palestina Kushiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa ni Kitendo Kisichokubalika

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amelaani uamuzi wa Marekani wa kutowapa viza maafisa wa Palestina kwa ajili ya kushiriki katika mikutano ijayo ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, akisema kuwa kitendo hicho hakikubaliki kabisa.

    2025-09-03 12:42
  • Hamas Yatuma Salamu za Pole kwa Watu wa Afghanistan Kufuatia Tetemeko la Ardhi

    Hamas Yatuma Salamu za Pole kwa Watu wa Afghanistan Kufuatia Tetemeko la Ardhi

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa salamu za rambirambi kufuatia tetemeko la ardhi lililosababisha vifo katika mkoa wa Kunar, nchini Afghanistan, na kueleza masikitiko yake makubwa kwa maelfu ya raia waliopoteza maisha au kujeruhiwa.

    2025-09-03 12:07
  • Kutoka kwenye Kampeni ya "Ziara kwa Njia ya Mbali" hadi Kuachiwa kwa Wafungwa: Maandalizi ya Wiki ya Umoja Mkoani Gilan

    Kutoka kwenye Kampeni ya "Ziara kwa Njia ya Mbali" hadi Kuachiwa kwa Wafungwa: Maandalizi ya Wiki ya Umoja Mkoani Gilan

    Sheikh Hujjatul Islam wal-Muslimin Mujtaba Ashjari, Mwenyekiti wa Baraza la Uratibu wa Matangazo ya Kiislamu mkoa wa Gilan, amesema kuwa wiki ya Umoja itashuhudia mfululizo wa shughuli za kiroho, kijamii na kusaidia wahitaji, ikiwa ni pamoja na kampeni za ibada, misafara ya furaha, utoaji wa misaada kwa familia zisizojiweza, na kusaidia wanafunzi masikini.

    2025-09-03 11:58
  • Zaidi ya Mahujaji 5,000 wa Umrah Wamewasili Nchini Saudi Arabia

    Zaidi ya Mahujaji 5,000 wa Umrah Wamewasili Nchini Saudi Arabia

    Shirika la Hija na Ziara nchini Iran limetangaza kuwa idadi ya mahujaji wa Umrah waliopelekwa katika ardhi takatifu tangu kuanza kwa msimu wa Umrah wa mwaka 1445 Hijria (sawa na 1404 kwa kalenda ya Iran), kuanzia tarehe 1 Shahrivar, imefikia zaidi ya watu 5,000.

    2025-09-03 11:50
  • Atlantic: Iran Yajenga Njia Mpya na Kuwapita Maadui Zake

    Atlantic: Iran Yajenga Njia Mpya na Kuwapita Maadui Zake

    Tabia ya ustahimilivu ya Iran na mhimili wa muqawama (mapambano ya upinzani) katika miongo iliyopita imeonyesha kuwa, licha ya mashinikizo na mashambulizi kutoka Marekani na utawala wa Kizayuni, Iran daima imeweza kujirekebisha kimkakati na kupata njia mpya za kukabiliana na changamoto.

    2025-09-03 11:39
  • Salam za Rambirambi za Baraza la Maulamaa na Wenye Mamlaka wa Madhhebu ya Shia nchini Afghanistan Kufuatia Tetemeko la Ardhi Mashariki mwa Afghanistan

    Salam za Rambirambi za Baraza la Maulamaa na Wenye Mamlaka wa Madhhebu ya Shia nchini Afghanistan Kufuatia Tetemeko la Ardhi Mashariki mwa Afghanistan

    Baraza la Maulamaa na Watu Wenye Mamlaka wa Madhehebu ya Shia nchini Afghanistan, kupitia taarifa rasmi, limeeleza masikitiko na mshikamano wao na familia za waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea hivi karibuni katika mkoa wa Kunar, mashariki mwa Afghanistan, huku likisisitiza umoja wa kitaifa na hitajio la msaada wa haraka kwa waathirika.

    2025-09-03 11:20
  • Mkutano wa Mwakilishi wa Kanda wa Al-Mustafa na Wanafunzi kutoka Tanzania, Burundi na Malawi katika Kituo cha Bayan

    Mkutano wa Mwakilishi wa Kanda wa Al-Mustafa na Wanafunzi kutoka Tanzania, Burundi na Malawi katika Kituo cha Bayan

    Katika mkutano huo, Hujjatul-Islam Taqavi alieleza kufurahishwa kwake na kufanyika kwa kikao hicho, na alisisitiza umuhimu wa kunufaika kikamilifu na uwezo mkubwa wa kituo hiki cha elimu. Aliwahimiza wanafunzi kutumia ipasavyo fursa zilizopo katika kituo cha Bayan ili kupata maarifa na stadi muhimu kwa ajili ya maisha na kazi zao za baadaye.

    2025-09-03 00:29
  • Maduro: Tutaitangaza Venezuela 'jamhuri yenye silaha' ikiwa US itatushambulia

    Maduro: Tutaitangaza Venezuela 'jamhuri yenye silaha' ikiwa US itatushambulia

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuongezeka uwepo wa majeshi ya Marekani katika eneo la Caribbean kunalenga kuipindua serikali yake, na kusisitiza kuwa yuko tayari "kutangaza jamhuri yenye silaha" ikiwa nchi hiyo itashambuliwa na wanajeshi hao wavamizi.

    2025-09-03 00:20
  • Barua ya pamoja ya Iran, Russia na China yalitaka Baraza la Usalama lipinge kutekelezwa utaratibu wa Snapback

    Barua ya pamoja ya Iran, Russia na China yalitaka Baraza la Usalama lipinge kutekelezwa utaratibu wa Snapback

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, China na Russia wameandika barua ya pamoja wakipinga hatua ya nchi tatu za Ulaya ya kuanzisha "utaratibu wa papo kwa hapo au Snapaback " kwa ajili ya kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Tehran.

    2025-09-03 00:19
  • Kiongozi wa Hizbullah atuma rambirambi kufuatia mauaji ya viongozi wa Yemen

    Kiongozi wa Hizbullah atuma rambirambi kufuatia mauaji ya viongozi wa Yemen

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon, Sheikh Naim Qassem, ametuma salamu za rambirambi kwa taifa la Yemen kufuatia kuuawa shahidi Waziri Mkuu wa Yemen, Ahmad Ghaleb Al-Rahawi, pamoja na mawaziri kadhaa wa serikali yake katika shambulio la anga la Israel lililofanyika hivi karibuni mjini Sanaa.

    2025-09-03 00:19
  • Majeshi ya Yemen yashambulia meli ya mafuta ya Israel katika Bahari ya Sham

    Majeshi ya Yemen yashambulia meli ya mafuta ya Israel katika Bahari ya Sham

    Majeshi ya Yemen yametekeleza shambulio la kombora dhidi ya meli ya mafuta ya Israel katika Bahari ya Shamu kwa kukiuka marufuku ya meli zinazokwenda katika bandari za maeneo yanayokaliwa kwa mabavu na Israel, marufuku iliyowekwa na San'aa kama kielelezo cha kuonyesha mshikamano na watu wa Gaza huko Palestina.

    2025-09-03 00:18
  • Mkurugenzi wa klabu ya michezo ya Gaza auawa katika shambulilo la Israel akisubiri misaada

    Mkurugenzi wa klabu ya michezo ya Gaza auawa katika shambulilo la Israel akisubiri misaada

    Shambulizi la anga la Israel ambalo lililenga umati wa watu waliokuwa wakisubiri misaada ya kibinadamu kaskazini mwa Gaza limemuua pia Louay Estita, Mkurugenzi wa Klabu ya Michezo ya Gaza.

    2025-09-03 00:17
  • Ansarullah: Tunajiandaa kutoa majibu ya kushangaza kwa Israel baada ya kuuawa maafisa wa juu wa Yemen

    Ansarullah: Tunajiandaa kutoa majibu ya kushangaza kwa Israel baada ya kuuawa maafisa wa juu wa Yemen

    Harakati ya mapambano ya Yemen ya Ansarullahy imesema kuwa inajiandaa kutoa majibu ya kushangaza kwa utawala wa Israel katika kulipiza kisasa mauaji ya karibuni ya maafisa wa ngazi ya juu wa Yemen yaliyotekelezwa na utawala wa Kizayuni huko Sana'a mji mku wa Yemen.

    2025-09-03 00:17
  • Jenerali Mousavi: ‘Kinara wa Magaidi’ Israel inaogopa kupanuka kwa Mhimili wa Muqawama

    Jenerali Mousavi: ‘Kinara wa Magaidi’ Israel inaogopa kupanuka kwa Mhimili wa Muqawama

    Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran amelaani vikali mauaji ya hivi karibuni ya maafisa wa juu wa Yemen, yaliyotekelezwa na utawala wa Israel, akiyataja kama ishara ya hofu kubwa ya Tel Aviv kuhusu kuongezeka kwa nguvu za Mhimili wa Muqawama katika eneo la Asia Magharibi.

    2025-09-03 00:16
  • Rais wa Iran azitaka US,EU kukomesha makabiliano, zirejee kwenye diplomasia

    Rais wa Iran azitaka US,EU kukomesha makabiliano, zirejee kwenye diplomasia

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Marekani na Ulaya zinapasa kuacha mienendo yao kwa msingi wa makabiliano na vitisho, na badala yake zifungamane na diplomasia ili kupata suluhisho lenye "mlingano na haki" kwa suala la nyuklia la Tehran.

    2025-09-03 00:15
  • Iran, Russia kuimarisha uhusiano wao kupitia mikataba ya muda mrefu

    Iran, Russia kuimarisha uhusiano wao kupitia mikataba ya muda mrefu

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran, na mwenzake wa Russia, Vladimir Putin wamesisitiza umuhimu wa kutekelezwa Mkataba Kamili wa Ushirikiano wa Kistratejia kati ya nchi mbili hizo.

    2025-09-03 00:15
  • Pendekezo la Iran kwa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai; hatua ya kuelekea kwenye mfumo mpya wa dunia

    Pendekezo la Iran kwa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai; hatua ya kuelekea kwenye mfumo mpya wa dunia

    Katika hotuba yake katika kikao cha Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai, Rais Masoud Pezeshkian wa Iran aliwasilisha utatuzi uliopendekezwa na Iran kwa ajili ya kupanua ushirikiano kati ya wanachama wa jumuiya hiyo kwa lengo la kukabiliana na misimamo ya upande mmoja ya Marekani na Magharibi.

    2025-09-03 00:14
Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom