Kijana huyu mwenye umri wa miaka 16; alikuwa akiwasapiti Wapalestina ambapo alipigwa risasi na Wavamizi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi Siku mbili zilizopita na kufa dunia.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Mamia ya wafuasi wa Palestina huko Seattle, Marekani, walijitokeza mitaani kuandamana ili kupinga jinai za utawala wa Kizayuni na kuuawa Shahidi kwa Mwanafunzi wa Marekani mwenye asili ya Kituruki, aitwaye Aisha; ambapo walisikika wakiimba: "Sisi sote ni Aisha Nour, Palestina Huru" na "Haki kwa Aisha Nour".
Kijana huyu mwenye umri wa miaka 16; alikuwa akiwasapiti Wapalestina ambapo alipigwa risasi na Wavamizi wa Israel katika Ukingo wa Magharibi Siku mbili zilizopita na kufa dunia.