Main Title

source : Abna
Jumanne

29 Oktoba 2024

02:16:56
1499122

Video | Watetezi wa Palestina walikatiza hotuba ya Kamala Harris

Kulingana na Shirika la Habari la Ahlul_Bayt (a.s) - ABNA - Idadi ya watetezi wa Palestina walikatiza hotuba ya Kamala Harris, naibu wa Biden na mgombea wa Democratic katika uchaguzi wa rais wa Marekani. Watetezi wa Wapalestina (wanaodhulumiwa) walikatiza hotuba ya Harris kwa kauli mbiu wakisema: "Sitisha Vita vya Gaza" na kumuuliza ikiwa, kwa kuendelea na utaratibu huu (wa Vita vya Gaza), "Je, anataka Trump awe Rais wa Marekani tena?!"