24 Agosti 2024 - 13:08
Msimbo wa Habari: 1480296
Jua 7 zilionekana kwenye jiji la Chengdu, lililoko Kusini-Magharibi mwa Mkoa wa Sichuan, nchini China. Jambo hili la kushangaza ni matokeo ya kupasuka na kutawanyika kwa Mwanga wa Jua.