1 Oktoba 2024 - 10:48
Video | Maandamano ya kumbukumbu na maombolezo ya Shahidi Syed Hassan Nasrullah katika Mji Mkuu wa jimbo la Punjab nchini Pakistan.

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - matembezi ya kumkumbuka na maombolezo ya Shahid Syed Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon, yamefanyika kwa hima na mipango ya "Harakati ya Mwamko wa Umma wa Mtume (s.a.w.w)" yakielekea Ubalozi mdogo wa Marekani huko Lahore, Pakistan.