Akaongeza kuwa “Tawi letu linamakumi ya aina za vitabu vyenye maudhui tofauti za kidini, kitamaduni na kielimu kutoka vitengo vya Ataba, sambamba na kuonyesha video za miradi inayotekelezwa na Ataba katika sekta ya afya, elimu na kilimo, ambayo ni kielelezo halisi cha huduma zinazotolewa na Atabatu Abbasiyya katika jamii”.
Ushiriki wa Atabatu Abbasiyya tukufu katika maonyesho hayo ni fursa ya kukutana na taasisi mbalimbali za kimataifa na kutambulisha machapisho ya Ataba tukufu.
alkafeel